
USHINDANI WA LIGI UPUNGUZE MAMBO MENGI
LIGI inazidi kupamba moto kwa sasa na hilo lipo wazi hasa ukitazama namna ambavyo timu zinacheza kwa sasa kwenye mzunguko huu wa pili. Ukitazama namna pointi walizoachana kuanzia yule aliyepo nafasi ya mwisho mpaka iliyopo ndani ya 10 bora sio namba ya kutisha na zote kwa sasa bado zinapambania kushuka daraja. Ajabu ni kwamba hata…