
VILE PUMZI YA MOTO ITAVUTWA LEO UWANJA WA MKAPA
ILE pumzi ya moto itavutwa kwelikweli kwa wababe wawili wanaotarajiwa kukutana leo Uwanja wa Mkapa,Simba v Ruvu Shooting. Ikumbukwe kwamba wababe hawa hawajawa kwenye mwendo unaopendeza hivyo kila mmoja atakuwa anatafuta sehemu ya kutokea na haya yatafanya pumzi ivutwe namna hii:- Dakika 270 bila tabasamu Wababe hawa wanakutana wakiwa wametoka kukamilisha dk 270 ambazo ni…