
HITIMANA:MBINU ZETU ZILIFELI KWA AZAM FC
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa mbinu zao zilefeli kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC ubao uliposoma Azam FC 2-1 KMC. Ni mabao ya Rodgers Kola ambaye alitupia mawili kwa Azam FC dk ya 1 na 36 na kufikisha mabao 7 kwenye ligi huku kwa KMC bao likifungwa na Miraj Athuman…