COASTAL UNION YASEPA NA POINTI TATU NA MBUZI MNYAMA

TAWI la Coastal Union la ‘Obama Camp’ la Mabokweni Tanga, limetoa zawadi ya mbuzi mmoja kuwapongeza vijana wao kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar. Ushindi huo waliupata Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Bao la ushindi lilifungwa kiufundi na Gustava Simon kwa pigo…

Read More

USHINDI UPO KWENYE MECHI HIZI HAPA LIGI YA MABINGWA

UEFA CHAMPIONS LEAGUE kurindima hii leo ambapo leo hii Manchester City atacheza dhidi ya RB Leipzig ambapo City anashikilia nafasi ya pili kwenye msimamo na Leipzig yupo nafasi ya tatu kule Bundesliga. Kila timu inahitaji ushindi kusonga mbele. ODDS KUBWA unazipata Meridianbet pekee ingia na ucheze ujiweke kwenye nafasi ya kukusanya mpunga mrefu kabisa utakaobadili…

Read More

MECHI YA AZAM V SIMBA HATIHATI MISRI

 ABDI Hamid Moallin,Kocha Mkuu wa Klabu ya Azam FC ameweka wazi kuwa kunahatihati ya mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Simba kutochezwa kulingana na ratiba kuwabana. Azam FC imeweka kambi nchini Misri sawa na Simba ambazo zote ni za Tanzania ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23. Moallin amesema kuwa mpango mkubwa…

Read More

RAIS MPYA ANATAKA KUWEKA REKODI YA CAF JANGWANI

RAIS wa Klabu ya Yanga,Injinia Hersi Said ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo ametoa ahadi ya kuweka rekodi ya kuifanya Yanga kuwa timu ya kwanza kubeba ubingwa wa Caf.  Yanga imebeba mataji matatu  msimu wa 2021/22 ikiwa ni Ligi Kuu Bara, Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) na Ngao ya…

Read More

MADRID YAINGIA ANGA ZA CHELSEA

Real Madrid imetajwa kuwa ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya nyota wa Chelsea, Antonio Rudiger ambaye ni beki wa kati.   Ikiwa dili lake litajibu basi mkwanja ambao atalipwa kwa wiki itakuwa ni pauni 200,000 na ni itakuwa kwa wiki jambo ambalo linaongeza urahisi katika kukamilisha dili hilo. Madrid ipo tayari kuwauza wachezaji wake…

Read More

YANGA KUIKABILI BIASHARA UNITED KWA HESABU

 NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wataingia kwa tahadhari leo Uwanja wa CCM Kirumba kusaka ushindi mbele ya Biashara United. Mchezo wa leo unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni ambapo timu zote zipo kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Yanga kwenye msimamo inaongoza ligi ikiwa na pointi zake 63 baada ya kucheza mechi 25…

Read More

WAGOSI WA KAYA WANAJISUKA UPYA

UONGOZI wa Coastal Unioni, umesema unaendelea kulitumia dirisha hili dogo la usajili kuboresha kikosi chao kwa kuzingatia ripoti ya Kocha Mkuu, David Ouma aliyoiwasilisha mapema kabla ya usajili kufunguliwa Desemba 16, mwaka huu. Ofisa Habari Coastal Union, Abbas El-Sabry, amesema ripoti ya kocha mkuu imeanza kufanyiwa kazi haraka kwa sababu hakuna muda wa kupoteza, huku…

Read More

YANGA BINGWA WA KOMBE LA SAFARI CUP

Klabu ya Young Africans Sc imeibuka bingwa wa kombe la #Safari Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Safari Champions katika dimba la Benjamin Mkapa. FT: Safari Champions 1️⃣➖4️⃣ Yanga SC ⚽️ Omary Mfaume ⚽️ Shekhan ⚽️ Prosper ⚽ Hussein Safari Champions ni kikosi ambacho kilipatikana kupitia programu maalum iliyoendeshwa na…

Read More