
KAMBOLE AOMBA JEZI NAMBA 7 YANGA
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Zambia ambaye ni ingizo jipya ndani ya Yanga, Lazarous Kambole, amesema kuwa angependa kutumia jezi namba 7 ndani ya Yanga huku akiweka wazi kuiomba jezi hiyo kwa matumizi ya msimu ujao akiamini kuwa ni namba ambayo anaipenda. Kwa upande wa Yanga, jezi namba 7 ilikuwa ikitumiwa na Balama Mapinduzi ‘Kipenseli’, ambaye…