
NYOTA BIASHARA UNITED KUSEPA MSIMU UKIISHA
NYOTA wa Biashara United, Ramadhan Chombo ‘Redondo’ ameweka wazi kuwa msimu ujao atakuwa nje ya Biashara United ambayo anaitumikia kwa sasa. Ikumbukwe kwamba nyota huyo amebakiza mechi mbili tu kuvua rasmi jezi ya timu hiyo baada ya kuivaa kwa misimu mitatu na msimu ujao hatakuwa katika kikosi hicho. Licha ya kushindwa kuweka wazi, atakuwa timu…