
MASHINE MPYA YANGA HII HAPA,NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO
MASHINE mpya Yanga hii hapa ni yule anayetoka Angola,jitu haswa
MASHINE mpya Yanga hii hapa ni yule anayetoka Angola,jitu haswa
BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa wana mpango wa kuwa na viwanja vinne kwenye eneo la Simba Mo Arena,Bunju kwa ajili ya matumizi ya timu hiyo. Jana, Barbara aliongozana na msanifu majengo, (Architect) eneo la Bunju kukagua mipaka ya eneo ambalo litatumika kwenye ujenzi kabla ya Bodi ya Wakurugenzi kukutana Ijumaa ili kumpitisha…
MAJINA ya nyota wawili wanaocheza ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine nabi leo Juni 14,2022 yametajwa bungeni. Ni Fiston Mayele mshambuliaji namba moja ndani ya Yanga akiwa ametupia mabao 14 na pasi tatu pamoja na Feisal Salum ambaye alitupia bao la ushindi kwenye mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho uliochezwa…
MASTAA watatu wa Yanga wanatarajiwa kuukosa mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Juni 14,2022. Diarra Djigui kipa namba moja wa Yanga anatarajiwa kuukosa mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, kesho Jumatano saa 2:30 usiku ukiwa ni wa mzunguko wa pili. Sababu kubwa ambayo itamfanya aweze kuukosa mchezo huo…
MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amesema kuwa leo wameongozana na msanifu majengo (architect) kwa ajili ya kutembelea eneo la Bunju ili kukagua mipaka na eneo ambalo litatumika kwenye ujenzi kabla ya Ijumaa Bodi ya Wakurugenzi Simba kukutan. Kwa mujibu wa Barbara ni kwamba lengo la kuweza kukutana Ijumaani kuweza kumpitisha mkandarasi ambaye…
LIGI Kuu Tanzania Bara leo Juni 14 inaendelea ambapo kuna mechi mbili zitachezwa kwenye viwanja tofauti. Ni KMC yenye pointi 31 baada ya kucheza mechi 25 hii itamenyana na Tanzania Prisons yenye pointi 25 aada ya kucheza mechi 26. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru. Pia mchezo mwingine ni ule wa Kagera Sugar yenye…
IMEELEZWA kuwa Simba imefikia makubaliano mazuri na uongozi wa Coastal Union ya kumnunua kiungo mkabaji Mnigeria, Victor Akpan. Kiungo huyo ni kati ya viungo bora wakabaji walioonyesha kiwango bora katika msimu huu ambaye anakuja Simba kuchukua nafasi ya Thadeo Lwanga ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu. Mnigeria huyo ndio alikuwa kikwazo katika michezo…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wamepanga kuongeza wachezaji wanne ama watatu wa kimataifa kwa ajili ya msimu ujao wa 2022/23. Manara ameweka wazi kuwa kuna baadhi ya nyota kadhaa wanaocheza soka katika Ligi ya Afrika Magharibi, Ligi ya Afrika Kusini, Ligi ya Angola na nyota wa Kimataifa aliyewahi kucheza soka la kulipwa…
USHINDI wa mabao 3-1 waliopata Mtibwa Sugar unawapandisha kwa hatua moja kutoka nafasi ya 12 waliyokuwa mpaka ya 11 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara. Wakati Mtibwa Sugar wakiwa kwenye furaha mashabiki wa Ruvu Shooting wao wapo kwenye huzuni kwa sababu timu yao imeganda palepale ilipokuwa nafasi ya 13 na pointi zao ni 28. Mabao…
STAA wa Geita Gold, mzawa George Mpole kafikisha jumla ya mabao 15 ndani ya ligi akiwa ni namba moja kwa utupiaji kwa sasa. Bao la 15 alifunga mbele ya Dodoma Jiji ilikuwa dk ya 77 wakati timu hiyo iliposhinda mabao 2-0 Uwanja wa Nyankumbu jana. Anayefuata kwenye suala la utupiaji ndani ya ligi ni Fiston…
HUU Hapa ukurasa wa nyuma gazeti la Spoti Xtra Jumanne
KLABU ya Al Ahly ya Misri imefikia makubaliano ya kuachana na Pitso Mosimane ambaye alikuwa ni Kocha Mkuu wa timu hiyo ya Misri. Hatua hiyo ya kuachana na Al Ahly ni maamuzi ya Pitso mwenyewe baada ya kikao na bodi ya wakurugenzi ya Klabu ya Al Ahly ambayo ni moja ya timu kubwa na bora…
JANA Juni 12,2022 ilikuwa ni safari ya mwisho duniani ya baba mzazi wa mashambuliaji wa Azam FC, Rodgers Kola aitwaye Damiano Kola Senior. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu, mahala pema peponi. Amen. Taarifa ya kutangulia kwa haki kwa mzazi huyo wa Kola ilitolewa na Azam FC Juni 10,2022. Msimu huu mshambuliaji huyo amekuwa kwenye ubora wake…
FARID Mussa kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga ameweza kuongeza kandarasi mpya kuendelea kuitumikia timu hiyo. Leo Juni 13,2022 Yanga wameachia picha ya nyota huyo akiwa na Injinia Hersi Said na kusindikiza na maneno haya:”Kiraka Farid Mussa bado yupoyupo sana,”. Kiraka huyo bado yupoyupo ndani ya Yanga baada ya kuongeza dili jingine la…
LEO Juni13,2022 Klabu ya Simba imeweza kupewa tuzo yake baada ya kuwapoteza wapinzani wao wa jadi Yanga kwenye mchakato wa kura. Ni Tuzo ya Klabu Bora kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania ambayo imetolewa na kampuni ya Serengeti Bytes. Mbali na watani zao wa jadi Yanga pia Simba imeweza kuwashinda kwa kura Azam FC, Mbeya City, Ruvu…
MCHEZO wa Yanga v Coastal Union unatarajiwa kuchezwa kesho, Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa timu zote mbili kuweza kuingia uwanjani kusaka pointi tatu. Ikiwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ikishinda mchezo huo basi inakuwa imeweza kujihakikishia lengo la kutwaa ubingwa wa ligi. Vinara hao wa ligi kwa sasa wana pointi 64 kama wakishinda watafikisha…