
SIMBA KUYAKOSA MABAO 8 LIGI KUU BARA
MASTAA watatu wa Simba ambao wamehusika kwenye mabao 8 kati ya 33 wanatarajiwa kuukosa mchezo wa leo dhidi ya Mbeya City, Uwanja wa Mkapa. Ni John Bocco mwenye mabao 3 Jonas Mkude mwenye pasi mbili za mabao na Clataous Chama mwenye mabao matatu hawa jana na juzi walipewa program maaalumu kwa ajili ya kuwarejesha kwenye…