
REAL MADRID WAFICHUA NAMNA WALIVYOMDHIHAKI SALAH
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Real Madrid Rodrygo Silva de Goes maarufu kama Rodrygo amebainisha kuwa wachezaji wa Real Madrid walipanga kumdhihaki mshambuliaji wa Liverpool na Timu ya Taifa ya Misri Mohamed Salah mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya maarufu kama Uefa. Mshambuliaji huyo amenukuliwa akisema:“Pale inapotokea mtu…