
PASI ZA BWALYA SIMBA KAMA DAKIKA ZAKE
RALLY Bwalya, mchezo wake wa kuagwa na mabosi zake Simba ilikuwa mbele ya KMC alitumia dk 88 na alipiga pasi 88 kati ya hizo mbili hazikuwafikia walengwa na muelekeo wake ulikuwa ni kwa Pape Sakho. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Mkapa, Juni 19 na Simba iliweza kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 ambapo watupiaji walikuwa…