MZUNGUKO WA PILI UPO KARIBU,KAZI IENDELEE
NJIA ambayo inatumika katika kusaka ushindi kwa kila timu ni maandalizi mazuri na wachezaji kupambana bila kuchoka ndani ya uwanja. Imekuwa hivyo kwa timu ambazo tayari zimekamilisha hesabu za mzunguko wa kwanza na nyingine bado mechi moja mkononi kufanya hivyo. Hakuna namna nyingine inayotakiwa kufanyika zaidi ya kila timu kuweza kufanya maandalizi mazuri kwa kuwa…