FAINALI CARABAO CUP: CHELSEA HAKUBALI KUKAA KWA MAJOGOO
Majogoo watawika mbele ya Chelsea? Wikiendi ya kibabe inakuletea soka bomba kutoka ligi mbali mbali ulimwenguni. Mida ya ya kuchakata majamvi ya ushindi inaanza mapema kabisa, na Meridianbet wao wamekuhakikishia Odds kubwa mapema kabisa na machaguo lukuki. Wikiendi hii Chelsea anavaana uso kwa uso na majogoo wa Uingereza Liverpool kwenye fainali ya Carabao Cup. Pande…