MUDA WA KUJIBU MASWALI YA MZUNGUKO WA KWANZA KWA VITENDO
NI kitu gani ambacho wachezaji mlishindwa kukifanya kwenye mzunguko wa kwanza katika kusaka ushindi kwenye mechi ambazo mlikuwa mnacheza? Ni jambo gani ambalo benchi la ufundi mlikwama kulifanya kwenye mechi ambazo mlikuwa mnaziongoza na mwisho mkapata matokeo ambayo hayakuwa kwenye mpango wenu. Ilikuaje mashabiki mkwakwama kushangilia kwenye mechi ambazo mliweza kufika uwanjani mwanzo mwisho na…