LUSAJO BABA LAO KWA UTUPIAJI BONGO

MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Namungo, Relliats Lusajo ni baba lao kwa utupiaji ndani ya Bongo katika Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22. Leo Machi Mosi anaanza mwezi mpya huku akiwa ni namba moja kwa kuwa ametupia mabao 10 akiwa na jezi ya Namungo FC. Kwa mujibu wa rekodi za Bodi ya Ligi Tanzania,(TPLB) nyota huyo…

Read More

MSAKO WA POINTI TATU KWA MKAPA ULIKUWA HIVI

KAMA utakuwa unaitafuta Yanga ilipo kwa sasa kwenye msimamo ni namba moja na pointi zake kibindoni ni 42 baada ya juzi kushinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Mkapa. Ilikuwa ni msako wa pointi tatu kwa timu zote mwisho Yanga wakasepa na pointi tatu mazima na ilikuwa namna hii  :- Makipa kazini…

Read More

SIMBA NDANI YA DAR,HESABU ZAO HIZI HAPA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho, Simba leo Machi Mosi wamerejea Dar baada ya kukamilisha dakika 180 za msako wa pointi sita kimataifa ugenini. Kwenye msako huo Simba iliambulia pointi moja na kufikisha pointi 4 kibindoni baada ya kupoteza mchezo mmoja wa kimataifa. Ilikuwa mbele ya USGN ya Niger, Simba ililazimisha sare ya kufungana…

Read More

WASHAMBULIAJI WAWILI WARUDI YANGA

WASHAMBULIAJI wawili ambao walikuwa nje kwa muda ndani ya kikosi cha Yanga wamerejea kikosini kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho. Ni Yusuph Athuman ambaye alikuwa nje kwa muda akitibu majeraha ambayo yalikuwa yakimsumbua. Pia Crispin Ngushi naye pia amerejea kikosini kwa kuwa alikuwa anatibu majeraha pia. Athuman kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar…

Read More

NYOTA DODOMA JIJI ALIYECHEZA YANGA AANZA KAZI

WAZIR Junior, ingizo jipya ndani ya kikosi cha Dodoma Jiji amefungua akaunit yake ya mabao kwa kutupia mbele ya Ruvu Shooting. Tayari ameanza kazi ya kucheka na nyavu na kituo kinachofuata ni mchezo wao dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 5. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza Dodoma Jiji ilipoteza kwa kufungwa…

Read More

AZAM FC:TUNA PRESHA KUBWA KWENYE LIGI

JOHN Matambala, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa wana presha kubwa kwenye ligi pamoja na mechi ambazo wanazicheza kwenye Ligi Kuu Bara. Leo Machi Mosi,2022 Azam FC itawakaribisha Coastal Union kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, ubao ulisoma Coastal…

Read More

KOCHA CHELSEA ATAKA ALAUMIWE YEYE

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Chelsea, Thomas Tuchel ameweka wazi kuwa kipa wake Kepa Arrizabalaga hapaswi kulaumiwa kwa kukosa penati na hawezi kujutia kwa nini alimpa nafasi dakika za mwisho. Katika fainali ya Carabao Cup iliyopigwa juzi Uwanja wa Wembeley, Kepa alikosa penati na kuipa nafasi Liverpool kutwaa taji hilo kwa ushindi wa penalti 11-10…

Read More

YANGA KUIFUATA GEITA GOLD FULL MUZIKI

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zao zijazo na kurejesha shukrani kwa mashabiki ambao wamekuwa wakijitokeza kwa wingi uwanjani. Manara amesema:”Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya matokeo ambayo tunayapata kwenye mechi zetu za Kombe la Shirikisho pamoja na mechi za ligi. “Ushindi huu unahanikizwa na kila Mwanayanga…

Read More

RANGNICK AWAVAA MASTAA WAKE

RALF Rangnick, Kocha Mkuu wa Manchester United amewachana mastaa wa timu hiyo kwa kuwaambia kwamba wanatakiwa kuongeza umakini. Juzi Manchester United walikosa nafasi nyingi za wazi kwenye mchezo wa  Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Trafford ilikuwa ni Februari 26,2022 na waligawana pointi mojamoja. Wakiwa wamecheza mechi 6, Uwanja wa Old Trafford ni mabao…

Read More

LIVERPOOL MABINGWA WA CARABAO CUP

LIVERPOOL ni mabingwa mara 9 wa Carabao Cup na usiku wa kuamkia leo waliweza kufikisha taji lao hilo la 9 muhimu. Ni ushindi wa penalti 11-10 dhidi ya Chelesea baada ya dakika 120 kukamilika bila kupatikana mbabe kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Wembeley. Mipango ya Kocha Mkuu wa Chelsea Thomas Tuchel kumuamini Kepa Arrizabalaga…

Read More

SIMBA KURUDI KUJIPANGA UPYA KUWAKABILI BERKANE

BAADA ya kikosi cha Simba kupoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi, Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema kuwa watashinda mechi ambazo watacheza nyumbani. Kichapo hicho cha mabao mawili kinaifanya Simba kubaki na pointi 4 kibindoni huku RS Berkane ikifikisha pointi 6 na…

Read More