JACKPOT YA SPORTPESA MPYA MKWANJA MREFU KINOMANOMA KWA BUKU MBILI TU
KAMPUNI kubwa ya michezo ya kubashiri (betting) ya SportPesa, imetangaza ‘Jackpot’ mpya ambapo sasa mshindi anaweza kujishindia mpaka shilingi 985,669,400/- kwa dau la shilingi 2000 pekee. Akitangaza kuzinduliwa kwa Jackpot hiyo, Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa SportPesa, Abbas Tarimba, amesema Jackpot hiyo ni endelevu na mpaka sasa hakuna kampuni yoyote ya ‘betting’ nchini inayotoa…