MAYELE NA MASTAA WENGINE WAPEWA MAAGIZO KUHUSU UBINGWA
RAIS wa Makampuni ya GSM Group, Gharib Salim Mohammed, Jumapili aliwaalika mastaa wa Yanga nyumbani kwake Kigamboni, Dar es Salaam wakiongozwa na Fiston Mayele na Chico Ushindi kwa ajili ya kula chakula cha mchana sambamba na kufanya kikao kizito. Yanga ambao ni mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara wakibeba ubingwa huo mara 27 ikiwa…