LWANGA KUWAKOSA ASEC MIMOSAS LICHA YA KUPIGA MATIZI
LICHA ya Taddeo Lwanga kiungo mkata umeme wa Simba kuanza mazoezi hana uhakika wa kuanza kesho mbele ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco inakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho, hatua ya makundi. Kwa sasa Simba ipo kwenye maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa…