MERIDIANBET MKUCHU CUP INAVYOENDELEA KUBAMBA KUNDUCHI!
Soka la kitaa linaendelea kuwa fursa kwa vijana na chachu ya ushirikiano. Meridianbet Mkuchu Cup imechukua taswira hii kwa vijana kutoka maeneo mbalimbali ya kata ya Kunduchi na sehemu mbalimbali za Dar es salaam. Meridianbet Mkuchu Cup ilianza kwa kushirikisha jumla ya timu 20 kutoka maeneo ya Mwananyamala, Mwenge, Kinondoni, Magomeni, Bunju, Tegeta, Kunduchi, Kawe,…