
KANE AINGIA ANGA ZA BAYERN MUNICH
BAYERN Munich inatajwa kuwania saini ya Harry Kane ambaye anacheza ndani ya Spurs inayoshiriki Ligi Kuu England. Kane mkataba wake ndani ya Spurs umebakiza miaka miwili hivyo ikiwa watakuwa wanahtaji saini yake wanapaswa kuvunja mkataba wake mazima. Nyota huyo ana umri wa miaka 28 aliletwa duniani mwaka 1994 hivyo bado ana umri wa kuendelea kupambana…