
NABI AANZA NA MAMBO MANNE YANGA,SIMBA YAMPANDIA NDEGE MANZOKI
NABI aanza na mambo 4 Yanga,Kigogo Simba ampandia ndege Manzoki,ndani ya Spoti Xtra Jumanne
NABI aanza na mambo 4 Yanga,Kigogo Simba ampandia ndege Manzoki,ndani ya Spoti Xtra Jumanne
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa Klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa TFF, Wallace Karia alifanya makosa. Manara amesema hayo leo Julai 25,2022 kwenye mkutano na Waandishi wa Habari,taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa inasikitishwa na…
MSEMAJI wa Yanga Haji Manara ameongea na Waandishi wa Habari kuelezea sakata lake la kufungiwa kujihusisha na masuala ya michezo ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 2 pamoja na faini ya shilingi milioni 20. Manara amemtaka Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa kwenda kusimamia haki ya kiapo chake cha Katiba…
KIWANGO cha nyota wa Arsenal, Gabriel Jesus kimezidi kuwa moto baada ya wikiend kuweza kutupia mabao mengine. Ilikuwa ni kwenye mchezo dhidi ya Chelsea ambapo Arsenal iliweza kushinda kwa mabao 4-0 juzi huko jijini Orlando,Florida,Marekani. Raia huyo wa Brazil alifunga bao lake la nne ndani ya mechi nne za pre season na kuonyesha kwamba Arsenal…
BAADA ya mabosi wa Ihefu FC kumalizana na Obrey Chirwa inaelezwa kuwa anayefuata ni beki kitasa Kelvin Yondani ambaye ni mali ya Geita Gold. Ihefu ambayo msimu ujao itashiriki Ligi Kuu Bara inajiimarisha kwa ajili ya msimu mpya ikiwa ni mpango wa kufanya kweli ndani ya ligi kuepuka kushuka daraja kama ilivyokuwa msimu wa 2019/20…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa, mastaa 7 wa timu hiyo watajiunga na wenzao kambini mara baada ya kumaliza majukumu ya timu ya taifa Julai 30, mwaka huu. Kutokana na kuchelewa kwao, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, itabidi awasubiri kwa takribani wiki moja ndipo aendelee kushusha madini zaidi katika kukisuka kikosi hicho. Yanga ambayo…
ABDI Hamid Moallin,Kocha Mkuu wa Klabu ya Azam FC ameweka wazi kuwa kunahatihati ya mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Simba kutochezwa kulingana na ratiba kuwabana. Azam FC imeweka kambi nchini Misri sawa na Simba ambazo zote ni za Tanzania ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23. Moallin amesema kuwa mpango mkubwa…
NI utatu Simba,Morrison amnyang’anya jezi beki Yanga ndani ya Championi Jumatatu
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kukusanya mataji yote matatu iliyotwaa kwa msimu wa 2021/22. Ni Ngao ya Jamii Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho ambayo waliyatwaa msimu uliopita yote yalikuwa mikononi mwa Simba hivyo wanakazi ya kuweza kuyatetea kwa mara nyingine tena. Kaimu Mtendaji wa Simba,Senzo Mbatha amesema kuwa wanatambua…
AZAM FC wakiwa wameweka kambi Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23 ni mwendo wa dozi kujiweka fiti zaidi. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC,Zakaria Thabit ameweka wazi kuwa kazi kubwa ambayo ipo kwa sasa ni maandalizi na watakuwa na mechi za kirafiki. Program kila siku zinaendelea chini ya Kocha Mkuu…
MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema Haji Manara anapaswa kujiweka mbali na marafiki wanafiki ambao wanamjaza upepo (Kumdanganya) kwamba hana makosa kutokana na hukumu aliyoipata ya kufungiwa miaka miwili kutojihusisha na soka pamoja na faini ya shilingi milioni 20. Akifanya mahojiano maalum na Mwandishi wa Habari wa Global TV, Jembe amenukuliwa akisema:“Mimi natakuwa…
WACHEZAJI Yanga wameanza mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23 na haya hapa ni mazoezi yao AVIC Kigamoni
MCHEZO wa pili wa kirafiki kwa washindi namba mbili wa Ligi Kuu Bara Simba uliochezwa usiku wa kuamkia leo nchni Misri ilikuwa dhidi ya Al Akkhood Club ya Misri na Simba kuibuka na ushindi mkubwa. Ilikuwa ni ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Al Akhdood Club ya Misri ambapo Kocha Mkuu Zoran Maki aliweza kuongoza…
WAARABU waipa Simba kifaa, mbadala wa Sakho, Kambole apewa jezi ngumu ndani ya Spoti Xtra Jumapili
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara mara 28,Yanga wachezaji wao rasmi wameanza mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya katika Mji wa Avic Town, Kigamboni ilipo kambi yao. Jana jioni ya Julai 23.wachezaji wa kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi walianza mazoezi kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23. Kambi yao haijachelewa kuanza kwa mujibu…
UWANJA wa Mkapa mchezo wa kuwania kufuu CHAN, timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars imeweza kuibuka na ushindi mbele ya Somalia. Ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Somalia 0-1 Tanzania na kuwafanya Watanzania kuweza kuanza kwa ushindi kwenye mchezo wa leo. Mtupiaji wa bao la Tanzania ni kiungo Abdul Suleiman, ‘Sopu’ ambaye alipachika bao hilo…
HASSAN Kessy beki wa zamani wa Yanga na Simba ambaye msimu wa 2021/22 alikuwa ni mali ya KMC anatajwa kumalizana na mabosi wa Ruvu Shooting. Kessy atajiunga na Ruvu Shooting akiwa ni mchezaji huru baada ya KMC kuweza kumshukuru kwa mchango wake ambao aliweza kuutoa kwa msimu uliopita. Ofisa Habari wa KMC,Christina Mwagala amesema kuwa…