
STARS KAMILI KUIVAA SOMALIA LEO
KIM Poulsen Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo kuwania kufuzu kuwania fainali za CHAN unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni Somalia watakuwa wenyeji kwenye mchezo wa leo na mchezo wa pili unatarajiwa kuchezwa Julai 30 ambapo Tanzania watakuwa wenyeji. Mshindi wa…