
UCHAGUZI YANGA LEO,RAIS MPYA KUPATIKANA
LEO Jumamosi Julai 9,2022 Yanga itaingia kwenye historia mpya ya kumpata rais ambaye ataiongoza timu hiyo kutoka kwenye mfumo wa kuongozwa na mwenyekiti. Yanga wanatarajia kumpata rais wa timu hiyo watakapokamilisha zoezi la uchaguzi leo Jumamosi. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere,Dar. Mbali na kumchagua rais pia Yanga…