HAWA HAPA WAITWA STARS,MKUDE,SAMATAA NDANI

LEO Machi 15,2022 Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Kim Poulsen ametangaza rasmi orodha ya wachezaji ambao wataingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki zilizo kwenye kalnda ya FIFA. Nyota hao ni pamoja na:-Aishi Manula wa Simba Metacha Mnata wa Polisi Tanzania Aboutwalib Mshery wa Yanga hawa ni kwa upande…

Read More

VIDEO:MAYELE AFUNGUKIA ISHU YA TUZO YA UFUNGAJI BORA

MSHAMBULIAJI namba moja ndani ya kikosi cha Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa anaamini anaweza kuwa mfungaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22. Machi 14,2022 Mayele alikabidhiwa zawadi yake ya Ng’ombe na shabiki wa Yanga wa Morogoro baada ya kuifunga Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa ligi na kwa sasa tayari amekabidhiwa zawadi…

Read More

TUCHEZE MPIRA KWA AFYA,ULINZI NI MUHIMU

IMEKUWA rahisi kwa sasa matukio yote ambayo yanatokea uwanjani kuweza kuonekana baada na kabla ya mchezo hii inatokana na kukua kwa teknolojia. Weka mbali suala ka kukua kwa teknolojia bado Azam TV wanaonesha kila mechi kuweza kuonyeshwa na mashabiki wakaweza kufurahia burudani. Mzunguko wa pili umekuwa na matukio mengi ambayo yanatokea yapo mazuri hasa kwa…

Read More

SIMBA YAPANIA KUFANYA VIZURI KIMATAIFA

SALIM Abdallah,’Try Again’ Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba kuwa malengo ya timu hiyo kimataifa ni kuweza kufanya vizuri kwenye mechi ambazo watacheza. Kwenye kundi D la Kombe la Shirikisho Simba ni namba moja ikiwa na pointi 7 baada ya kucheza mechi 4 inafuatiwa na ASEC Mimosas iliyo nafasi ya pili na pointi 6…

Read More

MANCHESTER CITY HAWAAMINI MACHO YAO

VINARA wa Ligi Kuu England, Manchester City hawaamini macho yao baada ya kubanwa mbavu na Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu England. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Selhurst Park ulisoma Crystal Palace 0-0 Manchester City na kuwafanya wagawane pointi mojamoja. Sare hiyo inawafanya City kufikisha alama 70 wakiwa nafasi ya kwanza…

Read More

PRISONS KAMILI KUIVAA BIASHARA UNITED

KIKOSI cha Tanzania Prisons, kimejiweka sawa kuelekea mchezo wao dhidi ya Biashara United utakaochezwa leo Jumanne Machi 15,2022 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu Bara, Biashara itakuwa nyumbani kuwakaribisha maafande hao wa Magereza wanaoburuza mkia katika msimamo wa ligi hiyo. Prisons na Biashara zote zipo katika hatari ya kushuka…

Read More

YANGA WAJA NA MFUMO MPYA WA UCHAGUZI

KLABU ya Yanga kwa sasa ipo kwenye mchakato wa uchaguzi ambapo imeweka wazi kuwa kutakuwa na mfumo mpya utakaotumika katika upigaji kura. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga, Malangwe Mchungahela amesema kuwa yote hayo ni kutokana na mabadiliko ya katiba ambayo imepitishwa na wanachama. “Uchaguzi wa matawi unatakiwa kuanza Machi 18…

Read More

NG’OMBE WA MAYELE ATUA DAR LEO

SHABIKI wa Yanga  kutoka Morogoro aliyeahidi kumzawadia mchezaji Fiston Mayele Ng’ombe mmoja baada ya kufunga bao katika mechi dhidi ya Mtibwa Sugar, ametimiza ahadi na kumfikisha Ng’ombe huyo leo Machi 14, 2022. Ni katika makao makuu ya Klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es Salaam zawadi imefika kwa ajili ya kutimiza ahadi ya muda kidogo….

Read More

DOMO LA FISTON LINAONYESHA ANASTAHILI KUWA SHABIKI

ANAANDIKA Saleh Jembe:- WAKATI Simba inapoteza 2-0 dhidi ya Berkane kule Morocco, Fiston Abdullazak alikuwa jukwaani kabisa. Wakati Simba ikishinda 1-0 pale kwa Mkapa dhidi ya Berkane, alipata bahati angalau ya kuwa benchi. Ajabu sana mchezaji huyu ambaye aliachwa na Yanga kutokana na kiwango duni alisajiliwa Berkane (Amini suala la bahati lipo), jiulize vipi timu…

Read More

KIUNGO SAIDO YAMKUTA YANGA

KIUNGO mshambuliaji tegemeo wa Yanga hivi sasa, Mrundi Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ ameondolewa kwenye mipango ya kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi kwa muda wiki tatu kutokana na tatizo la goti. Hiyo itamfanya akose mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC FC utakaochezwa Machi 19, mwaka huu kwenye Uwanja Mkapa, Dar.  Daktari wa…

Read More

FT: SIMBA YAWATUNGUA RS BERKANE KWA MKAPA

UBAO wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 1-0 RS Berkane katika mchezo wa Kombe ma Shirikisho uliochezwa leo Machi 13. Ni mchezo ambao ulimalizwa na Simba kipindi cha kwanza kwa bao pekee la ushindi la Pape Sakho dakika ya 44. Ikumbukwe kwamba katika mchezo wa awali uliochezwa Morocco,  Berkane ilishinda kwa mabao 2-0. Florent Ibenge…

Read More

KIMATAIFA:SIMBA 1-0 RS BERKANE

UWANJA wa Mkapa, mchezo wa kimataifa kati ya Simba v RS Berkane dakika 45 za awali zimemeguka. Ubao unasoma Simba 1-0,RS Berkane hivyo dakika 45 za kipindi cha pili zitaamua. Mtupiaji wa bao la kuongoza ni Pape Sakho ilikuwa dk ya 44 kwa shuti la mguu wa kulia akiwa ndani ya 18. Kutokana na kucheza…

Read More

WAWAKILISHI WA TANZANIA KIMATAIFA WAPANIA KUSHINDA

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, amesema hakuna matokeo yoyote ambayo anayahitaji zaidi ya ushindi katika mchezo wa Kundi D dhidi ya RS Berkane. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kuanzia majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Akizungumza na Spoti Xtra, Pablo alisema wanatarajia kuwa na…

Read More