MAYELE ATAJWA KUWA MCHEZAJI MWENYE UWEZO NA KIUNGO WA ZAMBIA
KIUNGO wa Simba, Clautos Chama raia wa Zambia amesema anawahusudu sana baadhi ya wachezaji wa kigeni kutoka kwa watani wao wa jadi Yanga. Akizungumza kwenye mahojiano maalum, Chama amesema pia anawakubali pia wachezaji wenzie wakigeni kwenye timu ya Simba. “Nadhani nitawataja Pape Sakho, Peter Banda, Saido Ntibazonkiza, Aucho licha ya kuwa sijamtazama sana akiwa anacheza…