
MANARA AFUNGUKIA ISHU YA KUFUNGIWA ATUMA OMBI KWA WAZIRI
MSEMAJI wa Yanga Haji Manara ameongea na Waandishi wa Habari kuelezea sakata lake la kufungiwa kujihusisha na masuala ya michezo ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 2 pamoja na faini ya shilingi milioni 20. Manara amemtaka Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa kwenda kusimamia haki ya kiapo chake cha Katiba…