
NBC DODOMA MARATHON MGENI RASMI WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa alikuwa mgeni rasmi katika toleo la tatu la NBC Dodoma Marathon. Ilikuwa ni Marathon iliyokuwa na ushindani mkubwa na ilivutia zaidi ya washiriki 4,000 kutoka nchi 8 tofautitofauti ambayo walishiriki. Lengo kuu ni kutafuta fedha za kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi…