
MAKAMBO NA BERNARD MORRISON WANA KAZI YAO MAALUMU
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amesema kuwa wachezaji wake, Mghana Bernard Morrison na Mkongomani, Heritier Makambo, wana kazi maalum za kimbinu na kiufundi katika kikosi chake. Nabi amesema kuwa wachezaji hao anawatumia kama ‘Super Sub’ ambao kazi yao ni kwenda kuwazuia mabeki na viungo wakabaji wa timu pinzani kupanda. Nabi amesema kuwa anapenda…