Home Sports MAPUMZIKO:SIMBA 1-0 KAGERA SUGAR

MAPUMZIKO:SIMBA 1-0 KAGERA SUGAR

MOSES Phiri amefunga bao la kuongoza kwa Simba kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar dk ya 42 kwa pigo la kichwa baada ya nyota Clatous Chama kupiga faulo iliyogonga mwamba.

Mchezo huo ni wa kasi kubwa kwa timu zote kucheza kwa tahadhari kwenye msako wa pointi tatu muhimu.

Nyota wa Kagera Sugar, Apolinary ameonyeshwa kadi ya njano kwenye mchezo wa leo baada ya kumchezea faulo mchezaji wa Simba.

Langoni yupo Aishi Manula kwa Simba huku lile lango la Kagera Sugar akiwa ni Sai Kipao.

Previous articleKIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA DHIDI YA KAGERA SUGAR
Next articleMZUNGU WA SIMBA ATUPIA MBELE YA KAGERA SUGAR