
KANE AWEKA REKODI LIGI KUU ENGLAND
MSHAMBULIAJI wa Tottenham, Harry Kane ameweka rekodi yake wakati timu hiyo ikishinda bao 1-0 dhidi ya Wolves kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa jana. Kane alivunja rekodi ya Aguero kwa kufikisha mabao 185 na kuwa mchezaji ambaye amefunga mabao mengi akiwa na timu moja ndani ya Ligi Kuu England. Nyota huyo amebeba tuzo ya…