
WACHEZAJI NI MUDA WA KULINDANA WENYEWE
KUCHANGAMKA kwa mzunguko wa kwanza na wa pili kwenye ligi kumetokana na maandalizi mazuri ambayo yalifanywa na timu husika hilo halipingiki. Kwa timu ambazo zilikwama kupata matokeo hapo kuna sehemu ya kuangalia namna ya kuweza kuboresha na kuwa bora wakati ujao. Katika mechi za mzunguko wa kwanza na wa pili inaonekana kwamba wachezaji wanatumia nguvu…