
MWAMBA HUYU KUCHUKUA MIKOBA YA SAKHO SIMBA
JEAN Morel Poé,anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Klabu ya Simba wakiangalia uwezekano wa kumsajili endapo tu Pape Ousmanne Sakho atauzwa kwenda Wydad Casablanca ya Morocco inayomuhitaji baada ya kumuwekea ofa ya shilingi bilioni 1.6. Sakho ambaye baada ya kushinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka CAF vigogo kibao wameanza kumnyemelea, Simba hawakutaka kuchelewesha,…