
LIVERPOOL YASHINDA TAJI BAADA YA MIAKA 16
LIVERPOOL imetwaa taji la Ngao ya Jamii baada ya kuyeyuka kwa miaka 16 bila kutwaa taji hilo. Mara ya mwisho kuweza kutwaa taji hilo ilikuwa ni mwaka 2006 baada ya kushinda mabao 2-1 dhidi ya Chelsea. Usiku wa kuamkia leo Julai 31 imeweza kushinda kwa mabao 3-1 dhidi ya Manchester City. Mshambuliaji mpya wa Liverpool,…