
YANGA YAICHAPA MTIBWA 3-0, AZIZ KI ATUPIA
WAKATI Yanga ikishinda mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ni mabao ya Djuma Shaban dakika ya 32, Fiston Mayele dakika ya 37 na Aziz KI dakika ya 90 yalitosha kuipa pointi tatu Yanga inayofikisha pointi 10 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye msimamo. Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa wachezaji walicheza kwa umakini kipindi…