
NAMUNGO YAMPA TABU KIPA WA KMC
ENEO ambalo KMC wanapaswa kuboresha na kuongeza nguvu kwa mzunguko huu wa pili ni ulinzi ikiwa ni beki na mlinda mlango. Kipa wao namba moja David Kissu amekuwa akifanya makosa mengi yakizembe akiwa langoni hasa kutokana na maamuzi yake yanayoigharimu timu. Alipata tabu akiwa langoni kutokana na kutunguliwa mabao akiwa langoni. Anaingia kwenye orodha ya…