
SAUTI:MOSES PHIRI AMTANGAZIA VITA MAYELE
MSHAMBULIAJI wa Simba Moses Phiri amemtangazia vita mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele na wote kwenye ligi wametupia mabao matatumatatu
MSHAMBULIAJI wa Simba Moses Phiri amemtangazia vita mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele na wote kwenye ligi wametupia mabao matatumatatu
CLATOUS Chama, kiungo wa Simba pamoja na wachezaji wengine ikiwa ni nahodha John Bocco, Moses Phiri na Aishi Manula wamepewa angalizo kuelekea mchezo wao dhidi ya Nyasa Big Bullets wa marudio. Simba inatarajiwa kumenyana na Big Bullets Jumapili ikiwa inakumbuka imetoka kushinda mabao 2-0 ugenini na mabao yakifungwa na Phiri pamoja na Bocco. Meneja wa…
UWANJA wa Zimbru kwenye mchezo wa Europa kwa kundi E ni mabao mawili Sheriff walishuhudia yakizama nyavuni huku watupiaji wakiwa ni Jadon Sancho dakika ya 17 na Cristiano Ronaldo dakika ya 39. Mabao ya nyota hao yaliwapa furaha mashabiki wa Manchester United ambao walikuwa wakihitaji kuona timu inashinda. Bao la Ronaldo lilipachikwa kwa mkwaju wa…
MASTAA wa Simba tayari wamereja Dar wakitokea Mbeya walipokuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons na ulikuwa mchezo wa kwanza kwa Kocha Mkuu, Juma Mgunda kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa ligi
NYOTA Tuisila Kisinda anarejea rasmi kuongeza kasi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, hivyo anatarajiwa kukiwasha ndani ya ligi na kimataifa. Usajili wakeakitokea RS Berkane ulileta mvutano mkubwa ila rasmi Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira Tanzania, (TFF) imepitisha usajili wake. Usajili wa winga huyo…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba, amesema kuwa wanatambua mchezo wao ujao dhidi ya Big Bullets utakuwa mgumu hivyo wanajipanga kupata matokeo. Mgunda ana kibarua cha kuiongoza timu hiyo kwenye mchezo ujao wa kimataifa ambao ni wa awali baada ya ule wa kwanza kushinda. Mchezo huo dhidi ya Big Bullets unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa,…
MATHIAS Lule, Kocha Msaidizi wa Singida Big Stars amesema kuwa wachezaji wote ambao wapo ndani ya kikosi hicho watapata nafasi ya kucheza. Singida Big Stars kwa sasa inaendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kuchezwa Septemba 21. Miongoni mwa mastaa ambao wapo ndani ya…
YANGA sasa inauza ulaya, Marseille yatua kwa staa Yanga, Big Bullets wahofia muziki wa Simba Dar, ndani ya Championi Ijumaa
HAIKUWA bahati kwa wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kupata ushindi kwenye mechi za kuwania kufuzu CHAN baada ya kupoteza kwenye mchezo dhidi ya Uganda kwenye mchezo wa nyumbani na ugenini. Kwa sasa wachezaji 23 wameitwa kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Libya…
RAHEEM Sterling wa Chelsea alipachika bao la kuongoza dakika ya 48 likawekwa usawa na Noah Okafor dakika ya 75 kwenye mchezo wa UEFA Champions League. Ni mashuti 17 Chelsea walipiga Uwanja wa Stamford Bridge huku RB Salzburg wakipiga mashuti matatu na ni mashutu manne kwa Chelsea yalilenga lango na matatu yalilenga lango kwa RB Salzburg….
SABABU kubwa ya Aziz KI kumfuata Heritier Makambo baada ya kufunga bao mbele ya Mtibwa Sugar ni ahadi ambayo alipewa. Mtu wa karibu wa wachezaji hao amesema kuwa Makambo alimuamuambia Aziz KI kuwa atafanya jambo lolote kwenye mchezo huo kufunga ama kutoa pasi. “Makambo alipokuwa benchi alimuambia Aziz KI nenda uwanjani una bao lako hapo…
AWADH Juma, Kocha Msaidizi wa Mtibwa Sugar ameweka wazi kuwa walistahili kupoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga kwa kuwa Yanga walistahili kushinda baada ya ubao kusoma Yanga 3-0 Mtibwa Sugar
Kuelekea wikiendi, timu nyingi Ulaya leo zina vibarua vya Ligi, tumekuwekea hapa baadhi ya gemu zinazokupa mkwanja poa kwa ajili ya wikiendi yako. Sherrif akiwa anaongoza Kundi E la Ligi ya Europa atakuwa anasaka kumkosesha zaidi usingizi Man United. United atawekeza jithada zake kuepuka aibu baada ya kupoteza gemu iliyopita. Meridianbet wameipa uzito gemu…
JONAS Mkude, kiungo wa Simba amesema uwa haikuwa kazi rahisi kushinda mbele ya Tanzania Prisons kutokana na ugumu wa timu hiyo. Mkude alipachika bao la ushindi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Sokoine, dakika ya 85 kwa pasi ya Kibu Dennis. “Kucheza na Tanzania Prisons kunahitaji kujipanga na timu ambayo itapata nafasi inaweza kushinda hivyo tulifanya…
FEDHA inaongea, Yanga wanaishi kishua, Mgunda apewa siku 180 ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
JONAS Mkude, kiungo wa kazi ndani ya Simba amepachika bao pekee la ushindi mbele ya Tanzania Prisons dakika ya 85 na kuipa pointi tatu muhimu. Ulikuwa ni mchezo huru kwa timu zote mbili ndani ya dakika 90 kwa kila timu kutengeneza mashambulizi ya kushtukiza katika kusaka ushindi. Dakika 45 zilikuwa ngumu kwa timu zote mbili…
HAIJAWAHI kutokea ishu ya uwanja wa Yanga Injinia Hersi ambaye ni Rais ana mpango mkubwa