
NEWCASTEL UNITED HAWAELEWI KUHUSU KUPOTEZA ANFIELD
KOCHA Mkuu wa Newcastle United, Eddie Howe amesema kuwa hajaelewa mpaka sasa kwa nini ziliongezwa dakika nyingi kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu England dhidi ya Liverpool. Ni mabao 2-1 walifungwa kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Anfield na bao la ushindi lilifungwa dakika za lala salama. Ni Fabio Carvalho alifunga bao la ushindi dakika…