
ORODHA YA MASTAA KUTOKA DR CONGO YATAWALA BONGO
LIGI Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/23 imeanza kwa ushindani mkubwa huku kila timu zikikamilisha usajili wao kwa kile ambacho walikuwa wanahitaji. Nyota wapya wakigeni wapo ikiwa ni pamoja na kutoka Uganda, Burundi, Rwanda lakini nyota kutoka DR Congo wametawala soka la Bongo. Hapa tunakuletea baadhi ya nyota wakigeni kutoka DR Congo ambao wanakipiga kwenye…