
UGANDA CRANES YAZIDI KUSHUSHA PRESHA KWA ALGERIA KUNDI G
Timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ imeendelea kuweka hai matumaini ya kufuzu kombe la Dunia 2026 (WC 2026) baada ya kushinda mechi yake ya pili mfululizo ikiilaza Msumbiji 4-0 Septemba 5, 2025 kabla ya kuitandika Somalia 2-0. Allan Okello ameendelea kung’ara akiwa na The Cranes baada ya leo pia kutupia dhidi ya Somalia kwa…