
TOTTENHAM, REAL MADRID, PSV… SHINDA LEO NA MERIDIANBET!
Hatimaye ule usiku ambao ulikuwa ukisubiriwa na watu wengi Duniani umefika sasa. Si mwingine bali ni usiku wa mechi za Ligi ya Mabingwa ambapo leo wababe 6 watashuka dimbani kusaka ushindi. Wewe saka maokoto na Meridianbet. SL Benfica watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Qarabag FK ambao kushinda mtanange huu wa leo wamepewa…