
JKT QUEENS VS POLICE BULLETS, KASARANI NUSU FAINALI CAF
JKT Queens wawakilishi wa Tanzania katika anga la kimataifa kwa timu ya Wanawake Septemba 14 2025 itakuwa kibaruani kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali. Ni JKT Queens vs Kenya Police Bullets mchezo huo unatarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Kasarani, ikiwa ni hatua ya nusu fainali. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa JKT Tanzania, Masau…