
KOCHA SINGIDA BIG STARS AWAPA MBINU WACHEZAJI
MATHIAS Lule, Kocha Msaidizi wa Singida Big Stars amesema kuwa wachezaji wote ambao wapo ndani ya kikosi hicho watapata nafasi ya kucheza. Singida Big Stars kwa sasa inaendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kuchezwa Septemba 21. Miongoni mwa mastaa ambao wapo ndani ya…