
KIMATAIFA KAZI IFANYIKE KWELI NGOMA NI NZITO
IKIPIGWA sana ngoma mwisho inashindwa kuhimili mikikimikiki hiyo inagotea kwenye kupasuka jambo litakaloifanya iepukane na suala la kupigwa kwa mara nyingine. Uzuri ni kwamba kwenye suala la upigaji na yule anayepiga lazima atambue kwamba itafika muda na yeye atapigwa tu kwani kuimba ni kupokezana. Katika Ligi ya Mabingwa Afrika tunaona kwamba wawakilishi wetu kimataifa wanatamba…