
AZAM FC KIMATAIFA HESABU ZAO HIZI HAPA
KALLY Ongala, kocha wa washambuliaji wa Azam FC ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi yao ya kimataifa dhidi ya Al Khadar ya Libya. Azam FC imewasili nchini Libya ikiwa na msafara wa wachezaji 25 miongoni mwao ni washambuliaji wawili, Idris Mbombo na Prince Dube. Pia kiungo Abdul Suleiman, ‘Sopu’ ni miongoni mwa…