
AZAM FC KAMILI LIBYA, WANATAKA USHINDI
MATAJIRI wa Dar Azam FC leo watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika raundi ya Pili dhidi ya Al Akhdar ya Libya. Jana wachezaji hao walifanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kuanza kuzikimbiza dakika 90 wakiwa ugenini. Ni nyota 25 wapo nchini Libya miongoni mwao ni pamoja na…