
BEKI WA KAZI PIQUE ATANGAZA KUONDOKA BARCELONA
BEKI mwandamizi wa Barcelona, Gerard Pique ametangaza kuachana mazima na timu hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 14. Raia huyo wa Hispania alibainisha jambo hilo kupitia kipande cha video aliyoweka kwenye mitandao ya kijamii ambapo amesema kuwa mechi ya Jumamosi itakuwa ya mwisho ndani ya Camp Nou. Pique alionyesha picha zake za zamani akiwa kijana…