
STAA HAALAND NI MKWANJA MREFU ANAKUNJA
MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Erling Haaland ambaye ametua ndani ya timu hiyo kwa pauni milioni 51 akitokea Borussia Dortmund anakunja mkwanja mrefu kinomanoma. Staa huyo mwenye miaka 22 analipwa vizuri ndani ya Etihad inaelezwa kwamba ukiweka kando bonasi anazopokea kwa wiki anakunja pauni 850,000 (bilioni 2.2 za Kitanzania). Ukicheki mshahara wa nyota huyo na zile…