
MGUNDA ANAAMINI KAZI BADO, NDANI YA DAR
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ushindi ambao wameupata ugenini kwenye mchezo dhidi ya de Agosto ya Angola unatokana na jitihada za wachezaji pamoja na mipango ya Mungu. Kikosi cha Simba jana Oktoba 9,2022 kiliibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya de Agosto kwenye mchezo ambao walikuwa ugenini. Leo kikosi kimerejea kwa…