
SUALA LA KUSHUKA DARAJA LIPO, TIMU ZIKUMBUKE HILI
MWANZO siku zote ni wakati wa kutengeneza mwisho kwenye mpango kazi ambao unafanyika hivyo kwa sasa ni maandalizi kwa ajili ya kukamilisha ligi msimu wa 2022/23. Tunaona kuna timu ambazo ushindani wake umekuwa ni wa kawaida wakiamini kwamba wataendelea kucheza ligi hii muda wote hata msimu ukiisha. Kwa wale ambao wanafikiria hivyo kwa sasa ni…