
YANGA RAHA NYIE, MGUNDA ASHUSHA PRESHA YA UBINGWA
YANGA raha nyie, Mgunda ashusha presha ya ubingwa ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
YANGA raha nyie, Mgunda ashusha presha ya ubingwa ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
Michuano ya Kombe la dunia inaendelea kule Qatar ambapo leo Alhamis kutakuwa na mechi 4 za kumalizia mzunguko wa kwanza wa makundi ni kundi G na H, Uswizi vs Cameroon, Uruguay vs Jamhuri ya Korea, Ureno vs Ghana na Brazil vs Serbia. Kesho Ijumaa ni mechi za mzunguko wa pili Wales vs Iran, Qatar vs…
LICHA ya kiungo Mzamiru Yassin kufunga bao la kuongoza mbele ya Mbeya City ngoma ilikuwa nzito kwa timu hiyo kuvuna pointi tatu. Bao la utangulizi lilifungwa dakika ya 14 na kuwafanya Simba kwenda mapumziko wakiwa wanaongoza kwa bao 1-0. Ngoma ilipinduka kipindi cha pili ambapo kasi ya Mbeya City ilikuwa kubwa mwanzo mwisho kuikabili Simba….
NOVEMBA 27,2022 Azam FC itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Coastal Union. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku. Katika mchezo huo kiingilio ni uzi wa Azam FC kwa yule ambaye hana jezi hiyo akifika uwanjani watafanya mazungumzo kujua shughuli inakwendaje. Azam FC imekuwa kwenye mwendo mzuri msimu huu…
KITASA wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba , Mzamiru Yassin amepachika bao la kuongoza ugenini. Dakika ya 14 usomaji wa ubao wa Uwanja wa Sokoine ulibadilika na kusoma Mbeya City 0-1 Simba. Bao la Mzamiru limepachikwa dakika ya 14 kwa pasi ya mshambuliaji John Bocco. Dakika 45 zimekuwa na ushindani mkubwa kwa kila…
BAADA ya kumalizana na Dodoma Jiji kwa ushindi wa mabao 2-0 kikosi cha Yanga leo Novemba 23 kimerejea Dar kwa maandalizi ya mwisho dhidi ya Mbeya City. Ni Novemba 26 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mabao yote ya Yanga yalifungwa na mshambuliaji wao namba moja Fiston Mayele. Kipindi cha kwanza alifunga bao moja…
Hawa hapa nyota wa Simba watakaoanza kikosi cha kwanza dhidi ya Mbeya City :- Aishi Manula Shomari Kapombe Zimbwe Joash Onyango Henock Inonga Jonas Mkude Clatous Chama Mzamiru Yassin John Bocco Phiri Moses Augustino Okra
KIKOSI cha Singida Big Stars leo kina kazi ya kusaka pointi tatu muhimu mbele ya KMC ambao nao wanazihitaji pia. Ni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti saa 8:00 mchana huko Singida. Upande wa kiingilio ni 3,000 kwa mzunguko na VIP ni shilingi 5,000 ambazo zitawafanya mashabiki kushuhudia mchezo huo…
YANGA inapiga, Mayele ilibaki kidogo apige hat trik mbele ya Dodoma Jiji, Uwanja wa Liti, Novemba 22 wakati akitupia mabao mawili
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wakati wa kufunga kwa mshambuliaji wake Kibu Dennis unakuja. Nyota huyo msimu wa 2021/22 alikuwa mfungaji bora ndani ya kikosi cha Simba alipotupia mabao 8 kibindoni. Msimu huu hajafunga bao zaidi ya kutoa pasi moja ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons alipompa mshikaji wake Jonas Mkude….
MTUNISIA Yanga awafungukia Lomalisa na mshambuliaji mpya ndani ya kikosi hicho
MABINGWA watetezi wa Kombe la Dunia wamepindua meza kibabe na kusepa na pointi tatu mazima kwenye mchezo wa kwanza wa makundi dhidi ya Australia. Austaralia wakiwa Uwanja wa Al Janoub mbele ya mashabiki 40,875 walianza kupata bao la kuongoza mapema dakika ya 9 kupitia kwa Craig Goodwin. Ni Adrien Rabiot alipachika bao dakika ya 27,…
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa sababu kubwa ya yeye kuchelewa kusoma kozi ya ukocha Leseni A ya CAF anayoisomea kwa sasa ni upatikanaji wa nafasi hizo. Matola kwa sasa yupo masomoni akiendeleza ujuzi wake wa masuala ya ufundishaji ambapo gharama za malipo zinasimamiwa na waajiri wake Simba. Kocha huyo amesema:”Hizi kozi huwa…
WINGA la kazi… Nakuja Yanga, Simba wamepania, wafanya usajili wa kibabe ndani ya Championi Jumatano
MBEYA City yenye maskani yake Mbeya ikiwa na staa Ssemujju Joseph ambaye ni mshambuliaji anayetumia nguvu nyingi na akili pamoja na winga mzawa Sixtus Sabilo, leo Novemba 23,2022 wataikaribisha Simba. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kwenye mechi za nje ya mkoa wa Dar wamekuwa wakipata tabu kupata matokeo licha ya kuwa na wachezaji…
KAY Mziwanda azungumzia ushindi wa Yanga, amkubali Sure Boy, ubingwa Simba