
RONALDO AWEKA REKODI NYINGINE YA DUNIA
NYOTA wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ameweka historia kwa mara nyingine kwa kuiongoza timu hiyo kushinda mbele ya Ghana. Ghana kutoka Afrika haikuwa na bahati kwenye mchezo uliochezwa Alhamisi baada ya kutunguliwa mabao 3-2. Nyota huyo alifunga kwenye mchezo huo na aligoma kujibu swali kuhusu kuondoka kwake ndani ya kikosi cha Manchester…